Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar 2025

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar 2025 Orodha zote ni kwenye PDF (Names Call For interview) TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI ZANZIBAR.

Kuitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR TUME YA UTUMISHI SERIKALINI

Kumb.Na.BA.1/25/02/88 3 APRIL, 2025

TANGAZO LA WITO

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi kwa upande wa Pemba katika Taasisi zifuatazo kuhudhuria katika usaili utakaofanyika katika Skuli ya Sekondari Fidel Castro iliyopo wilaya ya Chakechake Pemba. Taasisi zenyewe ni:

  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tume ya Utumishi Serikalini
  • Kamisheni ya Ardhi.

PDF Ya Majina Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar  2025

Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar Zanajira

KUITWA-KWENYE-USAILI-TAASISI-MBALIMBALI-PEMBA-ELIMUFORUM.COM

kwa Taarifa zaidi tembelea; http://www.zanajira.go.tz/