Tag: Wilaya Ya Mwanga
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mwanga June, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mwanga 02-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za ajira baada ya kupokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kumb. Na. FA.228/613/01G/085 ya tarehe 12 Mei, 2025. […]