Tag: Wilaya Ya Muheza
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Muheza Juni, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za ajira mpya baada ya kupokea kibali cha ajira Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA […]