Tag: Wilaya Ya Hai
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai June, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai 02-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa na ujuzi, kufuatia kibali cha ajira kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, 2025). 1. […]