Tag: Wilaya ya Chalinze
Nafasi Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze June, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze anatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa, kufuatia kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, 2025). 1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – NAFASI (5) Majukumu ya Kazi: […]