Tag: Wilaya Mbozi

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Mbozi june, 2025

Filed in Ajira by on June 9, 2025 0 Comments
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Mbozi june, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Mbozi 08-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kwamba, baada ya kupata kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma, anakaribisha maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo: 1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA […]

Continue Reading »