Tag: Walioitwa kwenye Usaili Benki Kuu
Majina Ya Walioitwa kwenye Usaili Benki Kuu 2025 Tanzania BOT

Orodha ya Majina Ya Walioitwa kwenye Usaili Benki Kuu BOT PDF 2025, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI BENKI KUU YA TANZANIA 06-02-2025. Naibu Gavana Utawala na Udhibiti wa Ndani wa Benki Kuu ya Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili wa kuandika/mchujo (Aptitude Test) unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-02-2025 hadi 24-03-2025. Walioitwa […]