Tag: Wachezaji Wapya Waliosajiliwa Yanga
Majina Ya Wachezaji Wapya Waliosajiliwa Yanga 2024/2025

Tutaangazia orodha ya Majina Ya Wachezaji Wapya Waliosajiliwa Yanga 2024/2025 (wachezaji wa Yanga 2024/25). Baada ya msimu wa mafanikio, Yanga SC, klabu inayotamba katika Ligi Kuu Tanzania Bara, imeendelea kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu wa 2024/2025. Baada ya misimu mitatu mfululizo ya kutwaa ubingwa wa ligi, Yanga SC imejiandaa kuongeza nguvu katika safari […]