Tag: Usaili Wa Walimu Daraja La Iiic
Usaili Wa Walimu Daraja La Iiic – Kiswahili Kufanyika Tarehe 30 Januari, 2025 Badala Ya Terehe 28 Januari, 2025

Usaili Wa Walimu Daraja La Iiic – Kiswahili Kufanyika Tarehe 30 Januari, 2025 Badala Ya Terehe 28 Januari, 2025. Usaili Wa Walimu Daraja La Iiic – Kiswahili Usaili wa Walimu Daraja la IIIC – Kiswahili uliopangwa kufanyika tarehe 28 Januari, 2025 katika Mikoa mbalimbali nchini, sasa utafanyika tarehe 30 Januari, 2025 kuanzia saa 1.00 Asubuhi. MABADILIKO […]