Tag: Taasisi Mbalimbali Za Umma
Nafasi Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Umma Juni, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Umma 06-06-2025, Kumb. Na. JA.9/259/01/B/172, Jumla ya Nafasi: 57Â Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kuomba ajira katika taasisi zifuatazo: 1.0 MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TABORA (TUWASA) Nafasi: Msaidizi wa Hesabu II (1 nafasi) […]