Tag: Sifa Za Kupata Mkopo

Sifa Za Kupata Mkopo Chuo Kikuu

Filed in Elimu by on June 17, 2025 0 Comments
Sifa Za Kupata Mkopo Chuo Kikuu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanzishwa kwa lengo la kusaidia wanafunzi wa Kitanzania wenye sifa stahiki lakini wasio na uwezo wa kumudu gharama za elimu ya juu. Kupitia mfumo wake wa kielektroniki wa maombi (OLAMS), wanafunzi wanaweza kuomba mkopo kila mwaka kwa ajili ya kugharamia masomo yao chuoni. Makala hii […]

Continue Reading »