Tag: Orodha ya magereza Tanzania
Orodha ya magereza Tanzania

Jeshi la Magereza Tanzania ni taasisi ya ulinzi na usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, lenye jukumu la kuendesha, kusimamia na kuendeleza huduma za hifadhi, urekebishaji na usalama wa wafungwa waliopatikana na hatia kupitia mfumo wa mahakama. Jeshi hili lina mtandao mpana wa magereza yanayopatikana katika kila mkoa wa Tanzania Bara […]