Tag: NIDA online
Jinsi Ya kujisajili NIDA online (Kitambulisho Cha Taifa)

Jinsi Ya kujisajili nida online, pamoja na Kujaza form ya NIDA online haya makala yatajumuisha kila kitu unachopaswa kujua kuhusu usajili wa nida mtandaoni Kitambulisho cha taifa NIDA. Usajili na Utambuzi wa Raia Jinsi ya kujaza fomu ya Usajili kwa raia:- Jaza fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa Namba 1A kwa kalamu ya wino […]