Tag: Nafasi za kujitolea JKT
Nafasi za kujitolea JKT Septemba 2024

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefungua rasmi milango kwa vijana kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2024, ikiwa ni fursa adimu ya kujifunza stadi za maisha, uzalendo, na ukakamavu. Usajili huu utaanza Oktoba Mosi, 2024 kwa mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani, huku utaratibu wa maombi ukiratibiwa kupitia ofisi za wakuu wa mikoa […]