Tag: Mji Makambako
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Mji Makambako Juni, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi za ajira mpya baada ya kupokea kibali cha ajira Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 6 […]