Tag: Mfano wa fomu ya mkopo
Mfano wa fomu ya mkopo HESLB

Mfano wa fomu ya mkopo heslb pdf, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) hutoa mikopo kwa wanafunzi wa Kitanzania wanaojiunga na vyuo vikuu au vyuo vya elimu ya juu, ikiwa ni kwa ngazi ya Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree). Moja ya hatua muhimu katika mchakato wa kuomba mkopo ni kujaza na kuwasilisha fomu […]