Tag: Mchungaji

Mchungaji aliyetekwa Kanisani Apatikana

Filed in Habari by on April 16, 2025 0 Comments
Mchungaji aliyetekwa Kanisani Apatikana

Mchungaji wa Kanisa la Fellowship Baptist Church lililopo Johannesburg Nchini Afrika Kusini ambaye alitekwa na Watu wenye silaha wakati akihubiri Kanisani April12, 2025, amepatikana akiwa hai baada ya Polisi kujibizana kwa risasi na Watu waliokuwa wakimshikilia baada ya kumteka. Taarifa kutoka Johannesburg zimeeleza kuwa bado haijawekwa wazi nia ya Watekaji hao ilikuwa ni nini lakini […]

Continue Reading »