Tag: Maombi Ya Vyuo

Maombi Ya Vyuo Awamu Ya Tatu 2024/2025 Udahili TCU

Filed in Elimu by on April 15, 2025 0 Comments
Maombi Ya Vyuo Awamu Ya Tatu 2024/2025 Udahili TCU

Maombi Ya Vyuo Vikuu Awamu Ya Tatu 2024/2025 Udahili TCU, kwenye makala hii tutaangalia mchakato wa Udahili wa vyuo kwa wanafunzi awamu ya Tatu. Mchakato wa udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania unaratibiwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Katika mwaka wa masomo wa 2024/2025, TCU imeanzisha awamu ya tatu ya […]

Continue Reading »