Tag: Makonda

Makonda aingilia kati kivuko Kujengwa MURIET

Filed in Habari by on April 16, 2025 0 Comments
Makonda aingilia kati kivuko Kujengwa MURIET

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Aprili 15,2025 ametembelea Mtaa wa Muriet uliopo katika Kata ya Sokoni 1 kufuatia malalamiko ya Wananchi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa ahadi ya kujengwa kwa kivuko kinachounganisha Kata za Muriet, Sinoni na Lemara nakuagiza kivuko cha muda kianze kwa haraka kuanzia kesho Aprili 16,2025 April 14,2025 AyoTV […]

Continue Reading »