Tag: Ligi Bora Africa
Ligi Bora Africa 2025 Ligi nne 4 Bora Zaidi Barani Afrika

Ligi Bora Africa 2025 Ligi nne 4 Bora Zaidi Barani Afrika, Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024. Je, Tanzania ipo namba ngapi kwenye msimamo wa ligi bora […]