Tag: KUITWA KAZINI

TANGAZO LA KUITWA KAZINI Tarehe: 24 Aprili 2025 Taasisi Mbalimbali za Umma

Filed in Ajira by on April 24, 2025 0 Comments
TANGAZO LA KUITWA KAZINI Tarehe: 24 Aprili 2025 Taasisi Mbalimbali za Umma

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa waombaji kazi waliopitia usaili kati ya tarehe 10 Septemba 2024 hadi 24 Februari 2025, matokeo yao rasmi yamekamilika. Waombaji waliofaulu wamepangiwa vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali za umma na orodha kamili ya majina yao imeambatanishwa katika tangazo hili. Orodha […]

Continue Reading »