Tag: Halmashauri Ya Wilaya Ya Moshi

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Moshi Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 21, 2025 0 Comments
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Moshi Juni, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi za ajira zilizopo kama ilivyoainishwa hapa chini, kufuatia kibali cha ajira mpya Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI […]

Continue Reading »