Tag: Halmashauri Ya Wilaya Ya Bumbuli
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Bumbuli

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli amepokea kibali cha ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa kwa nafasi zifuatazo: 1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – NAFASI 03 […]