Tag: Halmashauri Ya Mji Njombe
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Mji Njombe Juni, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi za ajira mpya kufuatia kibali cha ajira Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 2 […]