Tag: Halmashauri Ya Mji Masasi
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Mji Masasi Juni, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi za ajira mpya baada ya kupokea kibali Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 5 1.1 Majukumu […]