Tag: Form Five Selection 2025
Form Five Selection 2025/2026 TAMISEMI

Form Five Selection 2025/2026 TAMISEMI, Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026, Kila mwaka, Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inatangaza orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa kuzingatia matokeo ya Mtihani wa Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE). Mchakato wa uteuzi unazingatia utendaji […]