Tag: Chuo Kikuu Cha Dodoma
Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Juni, 2025

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kuwataarifu Watanzania wote wenye sifa stahiki kuwa kinakaribisha maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali za kitaaluma kama ifuatavyo: 2. NAFASI ZA KAZI ZINAZOPATIKANA A. Tutorial Assistant (Msaidizi wa Mwalimu) – Nafasi mbalimbali Fasihi ya Kiingereza – Nafasi 1 Sanaa na Ubunifu (Fine Arts and Design) – Nafasi 1 Sayansi […]