Tag: Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji
Nafasi Za Kazi Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Na Chuo Cha Bahari Dar Es Salaam (DMI) Juni, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji(nit) Na Chuo Cha Bahari Dar Es Salaam (DMI) 08-06-2025. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu Watanzania wote wenye sifa zinazostahili kutuma maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali katika: Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (National Institute of Transport – NIT) Chuo […]