Tag: cheti cha kuzaliwa
Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima RITA

Makala hii itakufundisha Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima RITA pamoja na Mwongozo mzima wa Maombi ya cheti cha kuzaliwa online Kupitia RITA Tanzania Cheti Cha Kuzaliwa. Cheti cha kuzaliwa ni nyaraka muhimu inayoonesha tarehe, mahali, na majina ya wazazi wa mtu. Nchini Tanzania, vyeti vya kuzaliwa vinatolewa na Wakala wa Usajili, […]