Tag: CHADEMA

INEC ifute tamko kuwa CHADEMA Haishiriki Uchaguzi

Filed in Habari by on April 16, 2025 0 Comments
INEC ifute tamko kuwa CHADEMA Haishiriki Uchaguzi

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kufuta tamko lake linalosema kuwa CHADEMA haitoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 na chaguzi ndogo zijazo ndani ya miaka mitano kwasababu ya kutosaini kanuni za maadili. Akiongea Jijini Dar es salaam leo April 15,2025, Nshala amesema “Haki ya kuchaguliwa kuwa Mgombea […]

Continue Reading »