Tag: CCM

CCM Uchukuaji Wa Fomu za Ubunge Kuanza June 28

Filed in Habari by on April 16, 2025 0 Comments
CCM Uchukuaji Wa Fomu za Ubunge Kuanza June 28

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa taarifa kwa Umma kwamba baada ya mashauriano na Wanachama wake, kutafakari na kupima kwa umakini ushauri huo, kimeamua kufanya marekebisho juu ya ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa Wagombea wa nafasi ya ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. […]

Continue Reading »