Tag: CAF Champions League
Matokeo, Kikosi Cha Yanga Vs MC Alger Leo 18 Januari 2025 Saa Ngapi?

Hapa ni Mchanganuo wa Matokeo, Kikosi Cha Yanga Vs MC Alger Leo Live 18 Januari 2025 Saa Ngapi? Patakuwa hapatoshi Uwanja wa Benjamini Mkapa Leo Jumamosi MC Alger VS Yanga SC Live watakapo kamatana uwanjani mechi ya kuamua nani anazidi kuwa mbabe wa CAF Champions League kwenye Msimamo Wa Kundi La Yanga Clubu bingwa Africa. […]