Tag: Ajira Za JWTZ
Fani Na Kada Za zinazohitajika Ajira Za JWTZ 2025

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania waliomaliza elimu ya sekondari hadi elimu ya juu, hususan wale wenye ujuzi maalum na taaluma za kitabibu na kiufundi. Tangazo hili limetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Kanali Gaudentius Ilonda, katika mkutano na waandishi wa habari […]