Tag: ACT

ACT: Tutashiriki Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Habari by on April 16, 2025 0 Comments
ACT: Tutashiriki Uchaguzi Mkuu 2025

Chama cha ACT Wazalendo leo Unguja, Zanzibar kupitia Kiongozi wake Doroth Semu, kimetangaza rasmi kushiriki katika ngazi zote za uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika October mwaka 2025. Makala Nyingine: CCM Uchukuaji Wa Fomu za Ubunge Kuanza June 28 PM Majaliwa Akagua Barabara SOMANGA INEC ifute tamko kuwa CHADEMA Haishiriki Uchaguzi

Continue Reading »