{"id":16646,"date":"2026-03-17T13:39:42","date_gmt":"2026-03-17T10:39:42","guid":{"rendered":"https:\/\/kaziforums.com\/?p=16646"},"modified":"2026-03-17T13:39:42","modified_gmt":"2026-03-17T10:39:42","slug":"ku-confirm-mwajiri-ajira-portal-kaza-ya-elimu-n-k","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/ku-confirm-mwajiri-ajira-portal-kaza-ya-elimu-n-k\/","title":{"rendered":"Ku- confirm Mwajiri ajira Portal (Kada ya Elimu N.K)"},"content":{"rendered":"<p>Jinsi ya Ku- confirm Mwajiri ajira Portal (Kada ya Elimu N.K),\u00a0 Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwajulisha wale wote walioomba kazi ya kufundisha katika Mikoa tofauti tofauti kuwa, imetoa <strong>siku tatu kuanzia terehe 14 mpaka16 Septemba, 2024 <\/strong>kwa ajili ya kuhuisha (update) taarifa zao za Mkoa ulioomba kufanya kazi katika mfumo wa Ajira Portal endapo unasomeka tofauti na Mkoa ambao ungependa kufanya kazi.<\/p>\n<p>Aidha, Hakikisha Mkoa unaosomeka katika eneo la Mwajiri \u201cEmployer\u201d ndilo ulilo omba kama ni tofauti unapaswa kubadilisha kwenye mfumo kwani sehemu hii ndio itakayopelekea kupangiwa kituo cha Usaili wa Mahojiano na hatimaye kupangiwa kituo cha kazi.<\/p>\n<p>Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni sikivu, imesikia maombi yenu hivyo, imetoa siku tatu tu kwa ajili ya kuhuisha taarifa zenu. Changamoto hii imejitokeza wakati wa kutuma maombi ya kazi ambapo waombaji wengi walijaziwa taarifa zao na ndugu, jamaa na hata wahudumu wa \u2018stationaries\u2019 na hamkupata nafasi ya kuhakiki kilichojazwa kama ni sahihi.<\/p>\n<p>Kutokana na changamoto hiyo, ofisi inawasisitiza watafuta fursa za ajira kuwa makini wakati wote wa ujazaji wa taarifa katika mfumo wa Ajira Portal na kuhakiki taarifa zao ili kuepuka usumbufu.<\/p>\n<p><strong>Ili kuweza kufanikisha kuhuisha taarifa zako katika mfumo wa Ajira Portal fuata maelekezo yafuatayo;<\/strong><\/p>\n<ol>\n<li>Ingia katika akaunti yako ya Ajira Portal;<\/li>\n<\/ol>\n<p><img fetchpriority=\"high\" decoding=\"async\" class=\"alignnone wp-image-16647 size-full\" src=\"https:\/\/kaziforums.com\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/1.png\" alt=\"\" width=\"727\" height=\"339\" \/><\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<ol start=\"2\">\n<li>Nenda Sehemu iliyoandikwa <strong>\u201cMy APPLICATIONS\u201d <\/strong>kwenye Akaunti yako ya Ajira Portal kisha bonyeza sehemu hiyo;<\/li>\n<\/ol>\n<p><img decoding=\"async\" class=\"alignnone wp-image-16648 size-full\" src=\"https:\/\/kaziforums.com\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/2.png\" alt=\"\" width=\"689\" height=\"336\" \/><\/p>\n<ol start=\"3\">\n<li>Chagua Sehemu iliyoandikwa <strong>\u201cSELECT EMPLOYER\u201d <\/strong>kisha bonyeza hapo na kuchagua mkoa ambao ungependa kufanya kazi;<\/li>\n<\/ol>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p><img decoding=\"async\" class=\"alignnone wp-image-16649 size-full\" src=\"https:\/\/kaziforums.com\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/3.png\" alt=\"\" width=\"745\" height=\"375\" \/><\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<ol start=\"4\">\n<li>Kisha ujumbe utakuja <strong>\u201cCONFIRM EMPLOYER\u201d <\/strong>wa kukutaka Uthibitishe Mwajiri \u201cEmployer\u201d kwa Maana ya mkoa uliochagua kuwa ni sahihi na itakulazimu ubonyeze sehemu iliyoandikwa SUBMIT kwa ajili ya kuwasilisha;<\/li>\n<\/ol>\n<p><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" class=\"alignnone wp-image-16650 \" src=\"https:\/\/kaziforums.com\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/4.png\" alt=\"\" width=\"826\" height=\"402\" \/><\/p>\n<ol start=\"5\">\n<li>Kisha utaona ujumbe umeandikwa <strong>\u201cEMPLOYER CONFIRMED SUCCESSFULLY\u201d. <\/strong>Hii itamaanisha kuwa umefanikiwa kubadilisha\/kuhuisha na kuchagua mkoa ambao ungependa kufanya<\/li>\n<\/ol>\n<p>Ukimaliza ukienda katika Akaunti yako utaweza kuona mkoa ulio chagua na mkoa huo ndio utapelekea kupangiwa kituo cha kazi baada ya kufaulu usaili wa mahojiano<strong>.<\/strong><\/p>\n<p>Vile vile waomba kazi wanatakiwa kuhuisha taarifa zao katika sehemu ya \u201cCurrent address\u201d sehemu iliyoandikwa \u201ccurrent resident region\u201d na \u201ccurrent resident district\u201d taarifa zinazo onekana sehemu hii ndizo zitakazo tumika kupanga sehemu ya kufanyia <strong><a href=\"https:\/\/kaziforums.com\/mfumo-wa-usaili-kidigitali-utumishi-online-aptitude-test\/\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\">usaili wa Kuandika<\/a><\/strong>\/Mchujo (Aptitude Test)<\/p>\n<p><strong>Mapendekezo:<\/strong><\/p>\n<p><strong><a href=\"https:\/\/kaziforums.com\/nini-kipya-huku-ajira-portal-walimu\/\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\">Nini Kipya Huku ajira portal (walimu)<\/a><\/strong><\/p>\n<p><strong><a href=\"https:\/\/kaziforums.com\/ajira-portal-login-mfumo-wa-maombi-ya-ajira\/\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\">Ajira Portal Login (Mfumo wa Maombi ya ajira)\u00a0<\/a><\/strong><\/p>\n<p><strong><a href=\"https:\/\/kaziforums.com\/walioitwa-kwenye-interview-utumishi-2024-usaili-na-ajira-portal\/\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\">Walioitwa kwenye interview Utumishi 2024 (Usaili) Ajira Portal<\/a><\/strong><\/p>\n<p>Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa umma itaendelea kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu na vilevile kusikiliza na kuyafanyia kazi maoni mbalimbali yanayotolewa na wadau kwa lengo la kuboresha zaidi mchakato wa ajira.<\/p>\n<p>Lynn Chawala<\/p>\n<p><strong>Mkuu wa <a href=\"https:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/newsattachments\/20241409281245TAARIFA%20KWA%20WAOMBAJI%20KAZI%20ZA%20UALIMU%20(1).pdf\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\">Kitengo cha Mawasiliano Serikalini<\/a><\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Jinsi ya Ku- confirm Mwajiri ajira Portal (Kada ya Elimu N.K),\u00a0 Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwajulisha wale wote walioomba kazi ya kufundisha katika Mikoa tofauti tofauti kuwa, imetoa siku tatu kuanzia terehe 14 mpaka16 Septemba, 2024 kwa ajili ya kuhuisha (update) taarifa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":3,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1258],"tags":[2336],"class_list":{"0":"post-16646","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-makala","7":"tag-ku-confirm-mwajiri"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/16646","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/3"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=16646"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/16646\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=16646"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=16646"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/elimuforum.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=16646"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}