Kata za Songea vijijini, Wilaya ya Songea Vijijini ni moja kati ya wilaya nane za Mkoa wa Ruvuma. Katika sensa ya mwaka 2022, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 178,201.
Orodha ya Kata
Hii ni orodha ya kata za Wilaya ya Songea Vijijini:
Kilagano | Kizuka | Liganga |
Lilahi | Litapwasi | Litisha |
Magagula | Maposeni | Matimira |
Mbinga Mhalule | Mpandangindo | Mpitimbi |
Muhukuru | Ndongosi | Parangu |
Peramiho | Namtumbo |
Tuachie Maoni Yako