Kampuni za Mikopo zilizosajiliwa na BOT

Kampuni za Mikopo zilizosajiliwa na BOT,  Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ina jukumu la kusimamia taasisi za kifedha nchini, pamoja na kampuni za mikopo. Hii ni kuhakikisha kuwa zinafanya kazi kwa uadilifu na kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizopo. BOT hutoa orodha ya taasisi za fedha zilizosajiliwa na kusimamiwa na benki kuu.

Orodha ya Kampuni za Mikopo Zilizosajiliwa

Ili kupata orodha kamili ya kampuni za mikopo zilizosajiliwa, unaweza kubofya hapa. Orodha hii husasishwa mara kwa mara na BOT. Wateja wanaweza kutumia orodha hii ili kuhakikisha kuwa wanashughulika na watoa huduma za kifedha walioidhinishwa.

Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kwamba kuna baadhi ya wakopeshaji mtandaoni ambao hawajasajiliwa na BOT wala BRELA (Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni). BOT inashauri wateja kujiridhisha na uhalali wa usajili wa kampuni kabla ya kuingia makubaliano yoyote ya kibiashara.

Apps 69 za Mikopo Mtandaoni Zilizofungiwa

Hivi karibuni, BOT ilizifungia programu tumizi (application) 69 za mikopo mtandaoni kwa sababu zilikuwa zinaendesha shughuli hiyo kidijitali bila kuwa na leseni wala idhini. Programu zilizofungiwa ni pamoja na:

  1. BoBa Cash
  2. Hewa Mkopo
  3. Money Tap
  4. Soko loan
  5. Bolla Kash – Bolla Kash Financial Credit
  6. Hi Cash
  7. Mpaso chap loan – Mkopo kisasa
  8. Sunloan
  9. BongoPesa-Personal Online Loan
  10. HiPesa
  11. Mum loan
  12. Sunny Loan
  13. Cash Mkopo
  14. Jokate Foundation Imarisha Maisha
  15. My credit
  16. Swift Fund
  17. Cash pesa
  18. Kopahapa
  19. Nikopeshe App
  20. Tala
  21. Cash poa
  22. Kwanza loan
  23. Nufaika Loans
  24. TikCash
  25. CashMama
  26. L-Pesa Microfinance
  27. Okoa Maisha – Mkopofast
  28. Twiga Loan
  29. CashX
  30. Land cash
  31. Pesa M
  32. TZcash
  33. Credit Land
  34. Loanplus
  35. Pesa Rahisi
  36. Umoja
  37. Eaglecash TZ
  38. M-Safi
  39. PesaPlus
  40. Usalama na Uwakika Mkopo Dk15
  41. Fast Mkopo
  42. Mkopo Express
  43. PesaX
  44. Ustawi loan
  45. Flower loan
  46. Mkopo Extra
  47. Pocket loan
  48. Viva Mikopo Limited
  49. Fun Loan
  50. Mkopo haraka
  51. Pop Pesa
  52. VunaPesa
  53. Fundflex
  54. MkopoFasta
  55. Premier loan
  56. Yes Pesa
  57. Get cash
  58. MkopoHaraka
  59. Safe pesa
  60. ZimaCash
  61. Getloan
  62. Mkopohuru
  63. Sasa Mkopo
  64. Getpesa Tanzania
  65. Mkopo Nafuu
  66. Silk loan
  67. Hakika loan
  68. Mkopo wako
  69. Silkda Credit

BOT ilichukua hatua hii kwa sababu majukwaa na programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili kwa wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024.

Ushauri wa Benki Kuu

Benki Kuu inashauri umma kutojihusisha na majukwaa na programu tumizi zilizofungiwa. Ni muhimu kushughulika na watoa huduma za kifedha walioidhinishwa na BOT ili kuepuka hatari za udanganyifu na utapeli.

Baadhi ya Taasisi Zinazosimamiwa na Benki Kuu

Hili jedwali linaonyesha baadhi ya taasisi zinazosimamiwa na Benki Kuu:

Jina la Taasisi Mkoa Anwani
POSTA BDC LUSHOTO BRANCH Tanga BOMANI ROAD POST OFFICE 0784 448517
POSTA BDC ARUSHA HPO Arusha CLOCK TOWER ARUSHA HEAD POST OFFICE
POSTA BDC MARANGU BRANCH Kilimanjaro MARANGU MTONI KILIMANJARO 0754 587199
POSTA BDC MBEYA BRANCH Mbeya LUPA MBEYA POST OFFICE
POSTA BDC NAMANGA BRANCH Arusha NAMANGA POST OFFICE
POSTA BDC MERU BRANCH Arusha MERU POST OFFICE
POSTA BDC AIRPORT TERMINAL 2 Dar es Salaam AIRPORT TERMINAL 2
POSTA BDC ZANZIBAR AIRPORT Mjini Magharibi ZANZIBAR AIRPORT
POSTA BDC TERMINAL 3 AIRPORT Dar es Salaam AIRPORT TERMINAL 3
POSTA BDC TUNDUMA BRANCH Songwe TUNDUMA POST OFFICE
POSTA BDC MOSHI BRANCH Kilimanjaro RENGUA MOSHI
POSTA BDC DODOMA BRANCH Dodoma DODOMA HEAD POST OFFICE
POSTA BDC LIBYA STREET Dar es Salaam LIBYA POST OFFICE LIBYA STREET
KADOO BUREAU DE CHANGE UHURU BRANCH Dar es Salaam AMAZING BUREAU UHURU & LIVINGSTONE
KADOO BDC ARUSHA BRANCH Arusha SOKOINE ROAD PLOT 58/E APT NO. 003
KADOO BUREAU DE CHANGE LIMITED Dar es Salaam Mlimani City Mall shop no. 82A
POSTA BDC KIJANGWANI BRANCH Mjini Magharibi Kijangwani Head Post Office – Unguja
KADOO BUREAUDE CHANGE MWANZA BRANCH Mwanza New Mwanza Hotel Building Posta Road, Nyamagana
MARANGU FOREX BUREAU – GOLIONDOI BRANCH Arusha ARUSHA
VINMAR BUREAU DE CHANGE LIMITED Kilimanjaro MOSHI-KILIMANJARO
SANYA BUREAU DE CHANGE LIMITED Arusha PLOT NO. 5 ALONGSIDE SOKOINE ROAD, ARUSHA
ZENA BUREAU DE CHANGE LIMITED Dar es Salaam DAR ES SALAAM
AL BASHASH BUREAU DE CHANGE COMPANY LIMITED Mjini Magharibi Airport, Mjini magharibi, P.O.BOX 3964, Zanzibar.
Ni muhimu kufanya utafiti kabla ya kuingia makubaliano na kampuni yoyote ya mikopo ili kuhakikisha kuwa ni halali na inafanya kazi kwa mujibu wa sheria.

Makala Nyingine;

  1. App za Mikopo Tanzania
  2. Orodha ya taasisi za mikopo Tanzania
  3. Kampuni za mikopo Tanzania online
  4. Kampuni za mikopo Tanzania online