Code Za Kutoa Call Forwarding

Code Za Kutoa Call Forwarding , Ili kufoward simu (call forwarding) katika mitandao ya simu, unaweza kutumia code zifuatazo:

Code za Kuforward Simu

  1. Kuforward Simu Zote:
    • Code*21*Namba ya Simu#
      Hii inatumika kuforward simu zote, ikiwa simu yako ni busy, haipatikani, au haijapokelewa.
  2. Kuforward Wakati Simu Iko Busy:
    • Code*67*Namba ya Simu#
      Inatumika wakati simu yako iko busy.
  3. Kuforward Wakati Hupokei Simu:
    • Code*61*Namba ya Simu#
      Hii inatumika kufoward simu pale ambapo hujapokea simu kwa muda mrefu.
  4. Kuforward Wakati Hakuna Mawasiliano:
    • Code*62*Namba ya Simu#
      Inatumika kufoward simu wakati uko sehemu isiyo na mawasiliano.
  5. Kuforward Katika Mambo Mbalimbali:
    • Code*004*Namba ya Simu#
      Hii inasaidia kufoward simu ikiwa uko busy, haupokei simu, au uko mahali ambapo huna mtandao mzuri.

Kuondoa Call Forwarding

Ili kuondoa call forwarding zote kwenye simu yako, tumia code ifuatayo:

  • Code##002#
    Hii itafuta call forwarding zote na kurudisha hali ya kawaida ya kupokea simu.

Kumbuka kuwa unahitaji kuwa na salio kwenye laini zote zinazohusika ili hizi code ziweze kufanya kazi ipasavyo.