Timu Zilizopanda Ligi Kuu 2024/2025 Tanzania, Ligi Kuu ya NBC Tanzania ni moja kati ya ligi zinazovutia mashabiki wengi, na msimu huu unaongeza ladha mpya baada ya timu mbili kali kupanda ngazi. Wakati mashabiki wakijiandaa kwa msimu wa 2024/2025, KenGold FC na Pamba FC zimethibitisha nafasi yao kwenye jukwaa la juu la soka Tanzania.
Timu Zilizopanda Ligi Kuu 2024/2025 Tanzania
Je, Umependa?
Love0
Sad0
Happy0
Tuachie Maoni Yako