Hapa Ni Matokeo ya Simba Vs Gaborone United SC Leo Septemba 20, 2025 (Simba Vs Gaborone United SC Live Stream Results) Mechi ni Saa Ngapi?
Mnyama ameshatua nchini Botswana amabo, Jumamosi atakuwa dimba la Francistown wakicheza na Gaborone United mechi ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika CAF.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Simba Vs Gaborone United SC Leo
Tazama Hapa Live👉👉👉 Gaborone United vs Simba SC live score, H2H and lineups
Makala Zaidi:
Ratiba ya Makundi Kombe la Shirikisho 2025/2026 CAF Confederation Cup
Ratiba ya Makundi Klabu Bingwa 2025/2026 CAF Champions League
Vilabu 10 bora Afrika 2025/2026 Viwango Vya CAF
Tuachie Maoni Yako