Sifa Za Mwombaji Ajira Jeshi la Polisi 2025 (Vigezo Vya Kujiunga)

Sifa Za Mwombaji Ajira Jeshi la Polisi 2025 (Vigezo Vya Kujiunga) Vigezo vya kujiunga na Jeshi La Polisi Tanzania.

Jeshi la Polisi Tanzania linahitaji vijana wenye sifa mahususi ili kujumuika katika kudumisha usalama na utulivu wa taifa. Kwa mwaka 2025, vigezo vya kujiunga na Jeshi la Polisi vimepangwa kwa makini ili kuhakikisha kuwa waombaji wanakidhi mahitaji ya kielimu, maumbile, na maadili.

Sifa Za Mwombaji Ajira Jeshi la Polisi 2025

  • Awe raia wa Tanzania kwa
  • Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa
  • Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 hadi
  • Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
  • Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
  • Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)
  • Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi
  • Awe na urefu usiopungua futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
  • Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
  • Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza kwa
  • Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa
  • Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto/watoto.
  • Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina
  • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya
  • Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya
  • Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote
  • Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye
  • Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
  • Asiwe na kumbukumbu za
  • Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.

Tumia fursa hii ya kuwa sehemu ya Jeshi la Polisi kwa kufuata kwa makini sifa na mchakato uliopewa. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti rasmi ya Jeshi la Polisi au anuani iliyotajwa hapo juu.

Tunakumbuka: Sifa zinaweza kubadilika kwa mujibu wa tangazo rasmi. Kwa hivyo, fanya utafutaji wa mwisho kabla ya kuomba.

Makala Nyingine:

Nafasi za kazi Jeshi la polisi 2025 Ajira Mpya (Tangazo)

Sifa za kujiunga na Jeshi la polisi 2025

Mfumo wa ajira polisi www polisi.go.tz ajira 2025

Sifa za Kujiunga na JKT 2025 Vigezo vya Mafunzo ya Kujitolea