Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2025/2026

Mwongozo wa Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2025/2026, tuangalie mechi za yanga zilizobaki ligi kuu ya NBC premier League msimu wa 2025/26 (ratiba ya Yanga ligi kuu 2025/26) Yanga Mechi Zilizobaki ligi Kuu Yanga msimamo wa ligi kuu.

Young Africans Sports Club ni moja ya vilabu maarufu zaidi vya soka nchini Tanzania, yenye historia ya kuvutia tangu kuanzishwa kwake mwaka 1935. Yanga SC imekuwa na mafanikio makubwa ndani na nje ya nchi, ikiwakilisha vyema Tanzania katika michuano ya ndani na kimataifa.

Katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC 2025/26, Yanga inatarajia kuendelea kutwaa ubingwa na kutoa burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wake. Katika makala hii, tutaangazia ratiba ya mechi zilizobaki za Yanga katika ligi kuu ya NBC.

Kuhusu Yanga SC

  • Jina kamili: Young Africans Sports Club (Yanga SC)
  • Jina maarufu: Wananchi, Vijana Stars
  • Ilianzishwa: Februari 11, 1935
  • Uwanja wa nyumbani: Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
  • Kocha Mkuu: Miguel Gamondi
  • Mashindano: Ligi Kuu NBC, Kombe la Shirikisho la CAF

Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2025/2026

Yanga SC inaendelea na kampeni yake ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026. Ratiba ya mechi zilizobaki inatoa mwongozo muhimu kwa mashabiki wanaotaka kufuatilia kila hatua ya timu yao pendwa. Ratiba hii inajumuisha mechi ambazo tayari zimepangwa na tarehe za kufanyika.

Mechi za Yanga SC kwa Msimu Mzima wa 2025/2026 Pamoja na Matokeo

Date Match Results
19:0024/09/2025 Young Africans
Pamba Jiji
3
0
16:1530/09/2025 Mbeya City
Young Africans
0
0
19:0029/10/2025 Young Africans
Mtibwa Sugar

16:0001/11/2025 Tanzania Prisons
Young Africans

16:0004/11/2025 Young Africans
KMC

19:0004/12/2025 Namungo
Young Africans

19:0010/12/2025 Coastal Union
Young Africans

17:0013/12/2025 Young Africans
Simba

21:0030/01/2026 Azam
Young Africans

16:0003/02/2026 Tabora United
Young Africans

16:1507/02/2026 Young Africans
JKT Tanzania

16:0011/02/2026 Mtibwa Sugar
Young Africans

19:0018/02/2026 Young Africans
Dodoma Jiji

16:1523/02/2026 Singida Black Stars
Young Africans

19:0026/02/2026 Young Africans
Mashujaa

18:3001/03/2026 Young Africans
Fountain Gate

16:1504/03/2026 Pamba Jiji
Young Africans

16:1512/03/2026 Young Africans
Mbeya City

16:1515/03/2026 Young Africans
Tanzania Prisons

14:0018/03/2026 KMC
Young Africans

14:0004/04/2026 Simba
Young Africans

14:0005/04/2026 Young Africans
Coastal Union

16:0012/04/2026 Dodoma Jiji
Young Africans

16:0015/04/2026 Young Africans
Singida Black Stars

16:0019/04/2026 Young Africans
Namungo

19:0003/05/2026 Mashujaa
Young Africans

19:0006/05/2026 Fountain Gate
Young Africans

16:0014/05/2026 Young Africans
Azam

16:0020/05/2026 Young Africans
Tabora United

16:0023/05/2026 JKT Tanzania
Young Africans

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatoa changamoto kubwa kwa Yanga SC. Timu inahitaji kujiandaa vyema ili kuhakikisha inashinda mechi muhimu na kutetea ubingwa wake.

Mashabiki wa Yanga wanatarajia kuona timu yao ikicheza kwa nguvu, akili, na ari ya ushindi, huku wakiwa na matumaini makubwa ya kufanikiwa msimu huu.

Kwa mashabiki wa Yanga, ratiba hii ni mwongozo wa kukuwezesha kufuatilia mechi zilizobaki na kujua lini timu yako itacheza. Tunakutakia utazamaji mzuri wa mechi hizi, huku tukisubiri kuona jinsi Yanga itakavyokabiliana na changamoto zinazokuja.

Makala Nyingine:

  1. Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC  Makadirio
  2. Kikosi cha Yanga  (Majina Ya Wachezaji Wote)
  3. Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika CAF
  4. Msimamo Ligi Kuu NBC Tanzania Bara
  5. Msimamo Ligi Kuu NBC  Tanzania Bara
  6. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC TanzaniaVinara Wa Magoli
  7. Ratiba ya ligi kuu NBC Tanzania  FIXTURES Bara