RATIBA YA USAILI – TUME YA UTUMISHI ZANZIBAR APRIL 2025, Ratiba ya usaili kwa nafasi mbalimbali za kazi ni kama ifuatavyo:
TAREHE 12 APRIL, 2025
Taasisi: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Aina ya Usaili: Maandishi
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:
- Mwalimu wa Michezo Daraja la III
- Mwalimu wa Physics Daraja la II
- Mwalimu wa Physics Daraja la III
- Mwalimu wa Elimu ya Biashara Daraja la II
- Mwalimu wa Mathematics Daraja la III
- Mwalimu wa Mathematics Daraja la II
- Mwalimu wa TEHAMA Daraja la III
- Mwalimu Grade B Maandalizi Daraja la III
- Mkutubi Msaidizi Daraja la III
- Mwalimu wa Engineering Sciences Daraja la II
- Lab Technician Daraja la III
TAREHE 13 APRIL, 2025
Taasisi: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Aina ya Usaili: Ana kwa Ana
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:
- Mwalimu wa Michezo Daraja la III
- Mwalimu wa Physics Daraja la II
- Mwalimu wa Physics Daraja la III
- Mwalimu wa Elimu ya Biashara Daraja la II
- Mwalimu wa Mathematics Daraja la III
- Mwalimu wa Mathematics Daraja la II
- Mwalimu wa TEHAMA Daraja la III
- Mwalimu Grade B Maandalizi Daraja la III
- Mkutubi Msaidizi Daraja la III
- Mwalimu wa Engineering Sciences Daraja la II
- Lab Technician Daraja la III
TAREHE 14 APRIL, 2025
Taasisi: Tume ya Utumishi Serikalini
Aina ya Usaili: Maandishi
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:
- Katibu Muhtasi Daraja la III
- Afisa Sheria Daraja la II (Kamisheni ya Ardhi)
- Afisa Uhusiano Daraja la II (Ofisi ya Rais Ikulu)
- Afisa Ununuzi Msaidizi Daraja la III
- Mpishi Daraja la III
- Afisa TEHAMA (Networking) Daraja la II
- Afisa Ushirikiano wa Kimataifa Daraja la II
TAREHE 15 APRIL, 2025
Taasisi: Tume ya Utumishi Serikalini
Aina ya Usaili: Ana kwa Ana
Muda na Mahali: Saa 2:00 Asubuhi, Skuli ya Sekondari Fidel Castro
Nafasi za Kazi:
- Katibu Muhtasi Daraja la III
- Afisa Sheria Daraja la II (Kamisheni ya Ardhi)
- Afisa Uhusiano Daraja la II (Ofisi ya Rais Ikulu)
- Afisa Ununuzi Msaidizi Daraja la III
- Mpishi Daraja la III
- Afisa TEHAMA (Networking) Daraja la II
- Afisa Ushirikiano wa Kimataifa Daraja la II
Wahitimu wote walioitwa kwenye usaili wanatakiwa kufika kwa muda uliopangwa wakiwa na nyaraka muhimu zinazohitajika.
Soma Zaidi: Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar 2025
Leave a Reply