Ratiba ya Mtihani Kidato Cha Pili 2025 NECTA Form Two

Ratiba ya Mtihani Kidato Cha Pili 2025 NECTA, Kwenye Makala Hii Utapata Mitihani ya NECTA Kidato cha pili pdf download (FTNA NECTA Form Two 2025)

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa rasmi Ratiba ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA) kwa mwaka 2025. Katika makala hii, utapata muhtasari wa ratiba pamoja na maelekezo muhimu ya kufuata. Pia tumekuwekea kiungo cha kupakua ratiba ya PDF.

Ratiba ya FTNA – Novemba 2025

Mitihani ya Kidato cha Pili itaanza Jumatatu tarehe 03 Novemba 2025 na kumalizika Alhamisi tarehe 13 Novemba 2025.

Jumatatu – 03/11/2025

Asubuhi (8:00 – 10:30)

  • Civics – 011
  • Historia ya Tanzania na Maadili (Vocational Stream) – 060

Mchana (2:00 – 4:30)

  • English Language – 022
  • English Language (Vocational Stream) – 022

Jumanne – 04/11/2025

Asubuhi (8:00 – 10:30)

  • Basic Mathematics – 041
  • Mathematics (Vocational Stream) – 043

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Biology – 033
  • Biology (Vocational Stream) – 033
  • Tourism for Hospitality (Vocational Stream) – 412

Jumatano – 05/11/2025

Asubuhi (8:00 – 10:30)
Masomo mbalimbali kwa pamoja:

  • Geography (013), Handloom Weaving 1 (201/1), Design & Cloth Tech (204/1), Leather Goods (205/1), Football Performance 1 (241/1), Netball Performance 1 (242/1), Track Events 1 (243/1), Animal Health (403/1), Horticulture (404/1), Field Crop Production (405/1), Food Production (463/1), Food & Beverage (464/1), Acting (481/1), Music (485/1), Masonry (801/1), Carpentry & Joinery (804/1)

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Kiswahili – 021
  • Computer Application 1 (Vocational Stream) – 398/1

Alhamisi – 06/11/2025

Asubuhi (8:00 – 10:30)

  • Chemistry – 032
  • Life Skills (Vocational Stream) – 396

Mchana (2:00 – 5:00)

  • History – 012
  • French Language (Vocational Stream) – 023
  • Arabic Language (Vocational Stream) – 025
  • Chinese Language (Vocational Stream) – 026
  • Agriculture (Vocational Stream) – 034
  • Technical Drawing (Vocational Stream) – 397

Ijumaa – 07/11/2025

Asubuhi (8:00 – 10:30)

  • Physics – 031
  • Engineering Science – 035
  • Engineering Science (Vocational Stream) – 035
  • Acting 2 (Planning Session) – 481/2

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Commerce – 061
  • Business Studies (Vocational Stream) – 065
  • Building Construction – 071
  • Electrical Engineering – 080
  • Mechanical Engineering – 090

Jumatatu – 10/11/2025

Asubuhi (8:00 – 11:00)

  • Information and Computer Studies – 036
  • Computer Application 2A (Practical) – 398/2A

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Book Keeping – 062
  • Architectural Draughting – 072
  • Electronics & Communication Engineering – 081
  • Engineering Drawing – 091
  • Masomo ya Vitendo: Design & Cloth Tech (204/2), Football (241/2), Netball (242/2), Track Events (243/2), Food Production (463/2), Food & Beverage (464/2), Music Performance (485/2)

Jumanne – 11/11/2025

Asubuhi (8:00 – 11:00)

  • Theatre Arts – 019
  • French Language – 023
  • Additional Mathematics – 042
  • Computer Application 2B (Practical) – 398/2B
  • Practical Subjects: Leather Goods (205/2), Animal Health (403/2), Plumbing (805/2), Solar Power (827/2), Electronics (843/2), Auto Electrics (862/2), Refrigeration (882/2)

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Bible Knowledge – 014
  • Elimu ya Dini ya Kiislamu – 015

Jumatano – 12/11/2025

Asubuhi (8:00 – 3:00)

  • Fine Art – 016
  • Chinese Language – 026
  • Agriculture – 034
  • Civil Engineering Surveying – 073
  • Practical Subjects: Handloom Weaving (201/2), Horticulture (404/2), Carpentry (804/2), Masonry (801/2), Electrical Installation (824/2A), Graphic Design (842/2), Motor Vehicle Mechanics (861/2)

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Music – 017
  • Arabic Language – 025
  • Woodwork & Painting Engineering – 074

Alhamisi – 13/11/2025

Asubuhi (8:00 – 11:00)

  • Home Economics – 050
  • Field Crop Production 2 (405/2)
  • Acting 2 (481/2 Practical)
  • Painting & Sign Writing (806/2)

Mchana (2:00 – 4:30)

  • Physical Education – 018
  • Practical Subjects: Electrical Installation (824/2B), Computer Programming (841/2), Welding & Metal Fabrication (881/2)

Maelekezo Muhimu

  • Wanafunzi wote watalazimika kufanya mtihani katika kituo walichosajiliwa.
  • Ukichelewa zaidi ya dakika 30 baada ya mtihani kuanza, hutaruhusiwa kuingia.
  • Hairuhusiwi kuingia na vifaa au maandiko yasiyoruhusiwa.
  • Mawasiliano yoyote kati ya wanafunzi hayaruhusiwi.
  • Andika namba yako ya mtihani kwa usahihi kwenye kila karatasi ya majibu.
  • Udanganyifu utapelekea matokeo kufutwa na unaweza kufungiwa kufanya mitihani ya NECTA siku zijazo.
  • Mitihani itaendelea hata kama tarehe zitaangukia siku ya sikukuu ya kitaifa.
  • Wanafunzi wa kujitegemea wanatakiwa kuwa na barua ya utambulisho.

Pakua Ratiba ya FTNA 2025 (PDF)

Bofya hapa kupakua Ratiba ya Kidato cha Pili 2025 (FTNA PDF)

https://www.necta.go.tz/webroot/uploads/news/FTNA_2025.pdf

Ratiba ya Kidato cha Pili 2025 (FTNA) ni mwongozo rasmi wa maandalizi ya mitihani ya kitaifa. Wanafunzi, wazazi na walimu wanashauriwa kuipitia kwa makini ili kuhakikisha maandalizi mazuri. Kuwa makini na muda, taratibu na maelekezo yote ya NECTA ili kufanikisha mitihani yako.

Makala Nyingine:

  1. Matokeo ya form two 2024/2025 (Matokeo Kidato Cha Pili) NECTA
  2. Usajili Kwa Watahiniwa Wa Kujitegemea Wa Kidato Cha Pili Na Nne 2025
  3. NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2024-2025 (FTNA)
  4. Jinsi ya kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano Form five Selection 2025
  5. Ratiba ya Mtihani Darasa la Nne 2025 NECTA SFNA Time Table
  6. Ratiba Ya Mtihani Wa Kidato cha nne 2025 NECTA Form Four
  7. Ratiba Ya Mtihani wa darasa la saba 2025 PSLE
  8. Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT 2025/2026 Form Six JKT Selection