Ratiba ya Mapinduzi CUP 2025

Ratiba ya Mapinduzi CUP 2025 Fixtures, Pamoja Na Timu zinazoshiriki Mapinduzi CUP, Michuano ya Mapinduzi 2025 kuanza kuchezwa Ijumaa hii katika dimba la Gombani Kisiwani Pemba.

Tutakuwa Tunakuletea Ratiba Zote Kutoka Makundi, Robo Fainali, Nusu fainali Mpaka Fainali yenyewe.

Orodha Ya Timu Zinazoshiriki Mapinduzi CUP 2025

  1. Zanzibar Hero’s (Wenyeji)
  2. Kilimanjaro Stars (Tanzania Bara)
  3. Burundi
  4. Uganda
  5. Kenya
  6. Burkina Faso

Ratiba ya Kombe la Mapinduzi

Ratiba Rasmi ya Kombe la Mapinduzi 2025

Matarajio ya Mashindano

Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yamekuwa na umuhimu mkubwa wa kihistoria na kiutamaduni, yakileta mshikamano na kusherehekea kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa msimu huu, mashabiki wanatarajiwa kufurika viwanjani kuona vipaji vya wachezaji wa timu za taifa. Tukio hili pia ni nafasi kwa Zanzibar kujitangaza kimataifa na kuimarisha soka katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Je, utakuwa sehemu ya historia hii? 

Mshindi wa mashindano haya ataondoka na zawadi ya shilingi milioni 100.

Makala Nyingine: