PM Majaliwa Akagua Barabara SOMANGA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asubuhi hii Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua Miundombinu ya barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.

PM Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax pamoja na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega.

Makala Nyingine:

CCM Uchukuaji Wa Fomu za Ubunge Kuanza June 28

INEC ifute tamko kuwa CHADEMA Haishiriki Uchaguzi

Jinsi Ya kujisajili NIDA online (Kitambulisho Cha Taifa)