NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2024-2025 (FTNA)

NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2024-2025 (FTNA) Kwa Lugha Nyingine form two national assessment (ftna) 2024 results, Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo wamepata madaraja ya I, II, III na IV.

Akitangaza matokeo hayo leo January 04,2025 Jijini Dar es salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohamed amesema “Mwaka 2023 Wanafunzi waliofaulu walikuwa 592,741 sawa na 85.31%, hivyo ufaulu umeongezeka kwa 0.10%, kati ya Wanafunzi 680,574 waliofaulu kuendelea na kidato cha tatu, Wasichana ni 367,457 sawa na 83.99% na Wavulana ni 313,117 sawa na 87.13%, hivyo Wavulana wamekuwa na ufaulu bora kuliko Wasichana”

Matokeo Ya Kidato cha pili 2024 RESULTS (Kimkoa)

 

ARUSHA

DAR ES SALAAM

DODOMA

GEITA

IRINGA

KAGERA

KATAVI

KIGOMA

KILIMANJARO

LINDI

MANYARA

MARA

MBEYA

MOROGORO

MTWARA

MWANZA

NJOMBE

PWANI

RUKWA

RUVUMA

SHINYANGA

SIMIYU

SINGIDA

SONGWE

TABORA

TANGA

“Wanafunzi wa kujitegemea waliofaulu upimaji na kupata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne ni 4,205 sawa na 55.94%, huu ni mwaka wa kwanza kwa Wanafunzi wa kujitegemea kutahiniwa upimaji huu”

Matokeo Yote; 

Matokeo ya form two 2024/2025 (Matokeo Kidato Cha Pili) NECTA

Matokeo ya kidato cha pili 2024/2025 NECTA (Form Two Results)