Leo Oktoba 29 NECTA Wametangaza Matokeo Ya Darasa la Saba 2024-2025 (PSLE), Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA)
Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) kwa mwaka wa masomo 2024-2025.
Matokeo ya Darasa la Saba 2024-2025 (PSLE)
Takwimu za Ufaulu kwa Mwaka 2024
Dk. Said Mohamed, Katibu Mtendaji wa NECTA, alitangaza kuwa jumla ya watahiniwa 974,229 walifanya mtihani huo, na 80.87% ya watahiniwa hao wamefaulu, na hivyo kumaliza elimu ya msingi kwa mafanikio. Ufaulu huu umeongezeka kwa asilimia 0.29% ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Katika takwimu hizo:
- Wavulana: Watahiniwa 449,057 walifaulu, sawa na asilimia 81.85%. Hii inaonyesha kuwa ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%.
- Wasichana: Watahiniwa 525,172 walifaulu, sawa na asilimia 80.05%. Hata hivyo, ufaulu wa wasichana umepungua kwa 0.53%.
Angalia Matokeo Yako
Ili kutazama matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) kwa mwaka 2024, bonyeza kiungo hapa chini:
Matokeo ya Darasa la Saba 2024/2025 NECTA Mwongozo
PSLE-2024 EXAMINATION RESULTS
ARUSHA |
DAR ES SALAAM |
DODOMA |
IRINGA |
KAGERA |
KIGOMA |
KILIMANJARO |
LINDI |
MARA |
MBEYA |
MOROGORO |
MTWARA |
MWANZA |
PWANI |
RUKWA |
RUVUMA |
SHINYANGA |
SINGIDA |
TABORA |
TANGA |
MANYARA |
GEITA |
KATAVI |
NJOMBE |
SIMIYU |
SONGWE |
|
KLIKI HAPA MATOKEO MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2024
Kwa maelezo zaidi kuhusu matokeo na uchambuzi wa kina, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya NECTA.
Leave a Reply