Nafasi Za Kazi Kutoka UDSM Oktoba, 2024

Nafasi Za Kazi Kutoka UDSM Oktoba, 2024 ajira mpya

POST: Security Guard II – 12 Nafasi
MWAJIRI: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
MUDA WA MAOMBI: 04 Oktoba 2024 – 14 Oktoba 2024

Majukumu na Wajibu

  • Kusaidia katika doria za kila siku ndani ya kampasi ili kudumisha amani na utulivu;
  • Kulinda mali za Taasisi;
  • Kudhibiti uingiaji na utokaji wa wageni kwenye maeneo ya chuo kwa lengo la kuzuia wizi na uhalifu;
  • Kudhibiti mzunguko wa magari na maegesho ndani ya maeneo ya Chuo;
  • Kuripoti kwa mlinzi mkuu juu ya matukio yoyote yasiyo ya kawaida ndani ya eneo la Chuo;
  • Kutekeleza majukumu mengine atakayopangiwa na msimamizi wa moja kwa moja.

Sifa za Muombaji

  • Mwenye cheti cha kidato cha nne au sita pamoja na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au mafunzo ya Mgambo awamu ya pili, au mafunzo mengine ya kijeshi. Mwombaji lazima awe amechunguzwa na Polisi.

Mshahara

POSHENI: POSS 1.1

Jinsi ya Kutuma Maombi

Ili kuwasilisha maombi yako, tafadhali fuata kiungo kilichotolewa hapa chini:

BONYEZA HAPA KUOMBA

Ajira Nyingine: