Nafasi za kazi Jeshi la polisi 2025 Ajira Mpya (Tangazo)

Nafasi za kazi Jeshi la polisi 2025 Ajira Mpya Polisi 2025/2026, www.polisi.go.tz ajira. Ajira mpya jeshi la polisi 2025 Tangazo La nafasi za kazi polisi lipo kwenye PDF.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne wenye sifa zifuatazo: –

 Sifa za Muombaji

  1. Awe raia wa Tanzania kwa
  2. Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa
  3. Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 hadi
  4. Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
  5. Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
  6. Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)
  7. Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi
  8. Awe na urefu usiopungua futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
  9. Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
  10. Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza kwa
  11. Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa
  12. Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto/watoto.
  13. Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina
  14. Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya
  15. Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya
  16. Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote
  17. Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye
  18. Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
  19. Asiwe na kumbukumbu za
  20. Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.

Utaratibu wa kutuma Maombi

Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA. Barua hiyo iambatishwe kwenye maombi ikiwa kwenye mfumo wa ‘pdf’.

Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA  POLICE  FORCE  –  RECRUITMENT  PORTAL)

unaopatikana kwenye kiunganishi (link) cha tovuti ya Jeshi la Polisi (https://ajira.tpf.go.tz). Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/04/2025.

PDF Ya Kada Zote Zilizotangazwa

TANGAZO_LA_NAFASI_ZA_AJIRA_ZA_POLISI

Imetolewa na:

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,

S.L.P 961, DODOMA. 20/03/2025.

Sifa za kujiunga na Jeshi la polisi 2025

Mfumo wa ajira polisi www polisi.go.tz ajira 2025

Mapendekezo:

  1. Nafasi za Kazi Wizara ya Afya 2025 Kupitia Ajira Portal
  2. Nafasi za kujiunga na JKT 2025/2026
  3. Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Ileje 20-02-2025